Tumia mbinu hizi kumfanya akupende zaidi…..

Mahusiano kwa kiasi kikubwa hutegemea Hisia pia katika mahusiano kuna lugha za kimahusiano ……najua utashangazwa na hili ila ni kwa wakati mwingine huwa mpenzi wako analalama humpendi lakin kiuhalisia umeonyesha jitihada zote za kumpenda na kumjali…kuna lugha mbali mbali katika mahusiano kama zawadi , kujitoa muda wako kwa ajili yake ,kumsaidia shughuli mbali mbali sio zote

Leave a Comment